Taarifa za Delivery

Muda wa mwisho wa kuagiza10:00 asubuhi
Muda wa delivery13:00 – 14:00
Siku za hudumaMon,Tue,Wed,Thu,Fri
Jiko letuKeko
Maeneo tunayohudumiaKariakoo, Keko, Ilala, Kisutu
Gharama ya deliveryImejumuishwa kwenye bei

Oda zinazotumwa baada ya muda wa mwisho hupangwa kwa siku inayofuata ya kazi. Kama eneo lako haliko kwenye orodha, tuandikie WhatsApp na tutakujulisha kama tunaweza kufika.